Category: Makala
Nani awafute machozi wamiliki wa daladala?
Kwanza nianze kwa kuwasalimu na kuwapa hongera kwa kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi Mkuu. Najua mashabiki na wafuasi wa wagombea, presha zinapanda na kushuka kila siku. Nawatakia heri kwa kuwa maisha yataendelea hata baada ya Oktoba 25, sisi wa…
Wasiotii sheria wajifunze kuzitii kabla JPM hajaapishwa
Dk. John Magufuli, ameshaanza kampeni kwa ajili ya kuingia Ikulu ifikapo Oktoba, mwaka huu. Kwa kuwa ameshaanza kampeni, wengi wamesikia nini anachokusudia kuifanyia Tanzania na Watanzania. Hadi naandika makala hii, “mtani wa jadi” wa Dk. John Magufuli kwenye mchuano huu…
Yah: Siasa za kuingia Ikulu kwa namna yoyote iwavyo
Hivi sasa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu na kila mwananchi anataka kutumia haki yake ya kimsingi kupiga kura na kumchagua kiongozi anayeona atafaa kumwongoza na kumletea maendeleo katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Viongozi wamefanyiwa mchakato ndani ya vyama vyao na…
Naogopa, ushabiki wa kisiasa ni hatari
Watanzania hivi sasa wamo katika mawazo na mazungumzo ya ajenda moja tu ya Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika hivi Oktoba 25, 2015 wa kuwachagua viongozi bora ambao ni madiwani, wabunge na rais wa nchi. Mazungumzo hayo yanaendeshwa mchana na usiku katika sehemu…
PPF yajipanga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi
Wanawake zaidi ya 720 wanafariki dunia kila mwezi nchini, kutokana na matatizo ya uzazi, na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na idadi kubwa ya vifo hivyo. Takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi…
IGP Ernest Mangu; Kampeni zinaanza, hatutaki mabomu
Namshukuru Mungu kuniamsha salama na mwenye akili timamu. Waraka wangu wa leo unamlenga moja kwa moja Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu. Nia yangu hasa ni kuonya na kukemea tabia ya baadhi ya viongozi wa jeshi…