JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Naogopa, ushabiki wa kisiasa ni hatari

Watanzania hivi sasa wamo katika mawazo na mazungumzo ya ajenda moja tu ya Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika hivi Oktoba 25, 2015 wa kuwachagua viongozi bora ambao ni madiwani, wabunge na rais wa nchi. Mazungumzo hayo yanaendeshwa mchana na usiku katika sehemu…

PPF yajipanga kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi

Wanawake zaidi ya 720 wanafariki dunia kila mwezi nchini, kutokana na matatizo ya uzazi, na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa ukanda wa Afrika Mashariki kuwa na idadi kubwa ya vifo hivyo.   Takwimu za Wizara ya Afya na Ustawi…

IGP Ernest Mangu; Kampeni zinaanza, hatutaki mabomu

Namshukuru Mungu kuniamsha salama na mwenye akili timamu. Waraka wangu wa leo unamlenga moja kwa moja Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu. Nia yangu hasa ni kuonya na kukemea tabia ya baadhi ya viongozi wa jeshi…

Yaongelewe masuala, wasiongelewe watu

Mimi nimefarijika sana na ninamshukuru Mungu kuona Makala zangu zinavyosomwa na watu na zinavyotoa changamoto miongoni mwa wasomaji.  Nimekuwa nikiandika makala katika magazeti mbalimbali na kwa hivi karibuni katika gazeti la JAMHURI. Kutokana na makala hizo nimekuwa nikipokea meseji nyingi…

Bomu la ajira kwa vijana linaitesa CCM

Miaka mitano iliyopita Rais wangu, Dk. Jakaya Kikwete, wakati akijinadi na kuomba kura kutoka kwa wapigakura, aliahidi mambo mengi kwa Watanzania. Kwa siku ya leo nitagusa ahadi moja tu ambayo ni changamoto kubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi, na…

JK ukumbukwe kwa lipi?

Kila kiongozi katika nchi yoyote ile duniani – iwe inafuata utawala wa kidemokrasia au wa mabavu – anapoondoka madarakani anakuwa na historia ya kukumbukwa kwa vyovyote vile kwa mabaya au mema aliyowatendea watu wake. Hapa si kwa viongozi wakuu wa…