Category: Makala
Kweli tunahitaji mabadiliko?
Kwanza nianze kwa kuweka usahihi kwenye kichwa cha habari cha makala iliyopita katika safu hii ya Fasihi Fasaha. Nilizungumzia juu ya “Usibadili bura yako na rehani”. Bura na rehani ni majina ya vitambaa vya hariri vyenye asili moja ya malighafi…
Marekani inavyoipiga jeki Afrika kiuchumi
Rais wa Marekani, Barack Obama, ametembelea nchi kadhaa za Afrika wakiwamo majirani zetu, Kenya, alikohudhuria kongamano la ujasiriamali. Ziara ya Obama imeendelea kuonesha namna Marekani inavyoweka juhudi katika kulinda maslahi ya uhusiano wa kiuchumi na kiulinzi baina yake na nchi…
Tatizo siyo Edward Lowassa, ni Chadema
Kupokelewa kwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kama mwanachama wa Chadema na kuteuliwa kwake kuwa mgombea urais wake ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kunapaswa kuwaacha hoi Watanzania wengi. Hoi kwa…
Tumekosea barabara za mwendo kasi (1)
Nianze hoja yangu kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uhai na amani ndani ya mioyo yetu, na hatimaye kuweza kuyafanya mengi tuyafanyayo kila kukicha likiwamo hili la ujenzi wa barabara za kuwezesha mabasi kwenda mwendo kasi. Kwa mantiki hiyo…
Makongoro Nyerere: Nichagueni ninyooshe nchi
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tayari wamejitokeza watangaza nia 40 ambao wote wanawania kiti cha urais, waweze kumrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Kila anayetangaza nia…
Wachina wabuni uhujumu uchumi mwingine
Kwa sasa kumetokea mchezo mchafu unaofanywa na raia wa China na Singapore walio hapa nchini. Mchezo huu umeshamiri baada ya baadhi ya Wachina wasio waaminifu kushiriki biashara ya pembe za ndovu. Wameanzisha utaratibu wa kusajili kampuni za kusafirisha samaki hai…