JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan 

Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.  Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…

DARAJA LA WAMI: Alama nyingine ya kujivunia Tanzania

CHALINZE Na Mwandishi Wetu Miundombinu inatajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya uchumi wa taifa, ikifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Barabara na madaraja ndiyo hasa vitu vinavyoyagusa moja kwa moja maisha ya mwananchi wa…

Bandari ya Tanga kuchochea uchumi  mikoa ya kaskazini, nchi jirani

TANGA Na Mwandishi Wetu  Bandari ya Tanga ni miongoni mwa bandari kongwe hapa nchini. Bandari ya Tanga ilianza kujengwa mwaka 1888 na kukamilika mwaka 1891 ikijulikana kwa jina la Marine Jetty. Bandari ya Tanga ni ya kwanza kutoa huduma Afrika…

Kiswahili, Kiingereza kama lugha za kufundishia 

Ottawa, Canada Na Chambi Chachage Nilidhani makala niliyoandika kwa Balozi Togolani Mavura (#SikilizaTogolani) yenye kichwa cha habari ‘Kwa nini tutumie msuli ilhali njia rahisi ipo wazi kabisa?’ ingekuwa ya mwisho kuhusu mjadala wa Lugha Ya Kufundishia (LYK).  Imani hiyo ilitokana…

VIAPO DHIDI YA RUSHWA:  Tatizo lilipo na njia ya kupita

DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu “Wengine tunaapa mdomoni tu, wengine tunaapa ndani ya moyo. Heshimuni viapo vyenu.” Mwisho wa kunukuu.  Hii ni kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Aprili 2, 2022 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma baada ya…

MIAKA 58 YA MUUNGANO Kero za Muungano zinavyotatuliwa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Nchi za Afrika zilianza kuvamiwa na kutawaliwa na mataifa makubwa ya Ulaya baada ya kumalizika kwa mkutano wa Berlin maarufu kwa jina la Kiingereza kama ‘Berlin Conference 1884/85’, uliokuwa na ajenda ya kugawana…