Category: Makala
Ngeleja; Kichwa kilichojificha nyuma ya tambo za Kikwete
“Natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini…Nimeongoza nchi maskini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri” yalikuwa ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyatoa Agosti 5, 2014 alipozungumza kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo mjini Washington, D.C., Marekani.
Kila mtu ni mjasiriamali
Watu wengi huwa wananiuliza swali hili mara kwa mara, “Je, kila mtu ni lazima awe mjasiriamali?”
Nimekuwa nikiwajibu na leo ninataka kulijibu kwa namna nyingine na kwa upana. Ili kulijibu swali hili ninaomba nitumie Biblia kupata baadhi za rejea.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
- Soma Gazeti la Jamhuri Julai 1 – 7, 2025
- Fomu ya ubunge ya Ulega na mkewe yazua jambo Pwani
- Dk Biteko: Nishati itakayozalishwa na nyuklia kujumuishwa kwenye gridi ya Taifa
- Pamoja tutashinda Tanzania yashiriki tukio la kusimikwa mtemi ea 24 wa Busiya chifu Majwaia wa III
- TRA yawaalika wananchi Sabasaba kupata elimu ya Kodi na huduma za TIN
Habari mpya
- Soma Gazeti la Jamhuri Julai 1 – 7, 2025
- Fomu ya ubunge ya Ulega na mkewe yazua jambo Pwani
- Dk Biteko: Nishati itakayozalishwa na nyuklia kujumuishwa kwenye gridi ya Taifa
- Pamoja tutashinda Tanzania yashiriki tukio la kusimikwa mtemi ea 24 wa Busiya chifu Majwaia wa III
- TRA yawaalika wananchi Sabasaba kupata elimu ya Kodi na huduma za TIN
- Waziri wa Maliasili na Utalii awataka maafisa kufanyakazi kwa bidii kwa bidii na weledi mkubwa
- Muhimbili yasogea karibu na wananchi kupitia Sabasaba
- Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili sekta ya nishati na maji
- Iran yamesema haina imani na usitishwaji vita wa Israel
- Mtetezi wa Haki za wenye ulemavu ajitosa kuwania Ubunge Mpwapwa
- Mwalimu Abubakar Alawi achukua fomi kugombea ubunge Jimbo la Kibaha Mjini
- Peter Mashili kuvaana na Bashe Jimbo la Nzega Mjini
- Koka achukua fomu kutetea Jimbo la Kibaha Mjini
- Rais Samia, Ndayishimiye wazindua Kiwanda cha Kisasa cha Mbolea
- Godwin Ndossi achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Kibaha Mjini
Copyright 2024