Category: Makala
Yah: Naomba urais tena, sababu ninazo, ninatosha
Ndugu wananchi, katika waraka wangu uliopita niliomba mnipe nafasi ya kuongoza Taifa hili kubwa Afrika Mashariki na taifa tajiri kwa rasilimali zake, likiwa na kundi kubwa la maskini. Nazungumzia maskini waliokata tamaa na kukosa muelekekeo wa maisha yao, wamekata tamaa…
Mke asiye wa ndoa, mtoto wa nje hawarithi kisheria
Kumekuwa na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea hayati alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshuhudia ugomvi mkubwa misibani, pia tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali…
Wakati Dar kumejaa, tusisahau vijijini
Nionavyo mimi, jiji la Dar es Salaam limejaa. Watu, magari, na changamoto za kila aina. Takwimu za Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wakazi 3,133 kwa kilomita ya mraba wakati wastani…
Mikopo ni sehemu ya biashara
Visa na mikasa ya wajasiriamali kukopa na baadaye kujikuta wakishindwa kurejesha mikopo yao ni vingi sana mahali pote, si tu Tanzania bali duniani kote. Mikopo imekuwa chanzo cha baadhi ya wajasiriamali na wafanyabiashara kudhalilika, kurudi nyuma kimaendeleo na hata…
Membe alivyopokewa na Ukoo wa Nyerere Burito
Wanaukoo wa Burito ambao ndiyo chimbuko la ukoo wa Chifu Nyerere Burito, hivi karibuni ulifanya Mkutano Mkuu wa Ukoo wa mwaka 2015. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi. Kulikuwa na wageni waalikwa wengi, akiwamo Waziri…
Uraia siyo uzalendo
Na FX Mbenna BRIG GEN (MST) Kuna tofauti kubwa kati ya maneno haya mawili – uraia na uzalendo. Hapa nchini Tanzania upo mkanganyiko mkubwa wa utumiaji usio sahihi wa maneno mbalimbali. Baadhi yetu tunaona neno uraia ni sawa tu…