JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kubadili hati ya nyumba, kiwanja kwa haraka andaa nyaraka hizi

Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina, yaani kutoka mmiliki wa awali kwenda kwa mmilki mpya aliyenunua.   Upo usumbufu unaosababishwa kwa makusudi na maofisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka kubadili…

Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara

Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…

Barua ndefu kwa Zitto Zuberi Kabwe

Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika turiourithi kutoka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa – 'shikamoo komredi Zitto Kabwe'. Nakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka yoyote kuwa kamwe hutaishangaa.   Kama ujuavyo, uandishi wa barua…

‘Nchi yetu haina dini’

Nchi yetu haina dini. Haya ni maneno maarufu katika masikio ya Watanzania. Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake maneno haya aliyasema mara kwa mara. Katika moja ya hotuba zake, alisema: “Siku moja nikiwa…

Watoto wa marehemu (mke/mme) hugawanaje mirathi?

Mara nyingi nimeandika kuhusu mirathi, lakini zaidi nimegusia habari ya usimamizi wa mirathi. Leo nimeona ni muhimu kueleza mgawo wa mirathi kwa kuangalia nani anapata nini kupitia sheria ya mirathi ya Serikali. Mgawo ukoje ikiwa mume amefariki? Kama mume amefariki…

Wapigakura Rais safi tunamjua

Wiki iliyopita katika Safu hii ya Fasihi Fasaha, nilizungumzia kupata rais safi inawezekana Watanzania watapotimiza wajibu wao. Nilikusudia kuzungumza na Watanzania ambao ndiyo wapigakura wenye uamuzi wa kupata rais safi.  Makala ile imechangiwa na wasomaji wengi wakiunga mkono na kuhoji…