Category: Makala
MPOROGOMYI:
Waziri mstaafu aliyeanzisha kanisa
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Dk. Kilontsi Mporogomyi, ameanzisha kanisa. Kanisa hilo lenye Makao Makuu Makongo, linatambulika kwa Jina la Kanisa la Miujiza, Uponyaji, Kufunguliwa na Mafanikio.
FASIHI FASAHA
Miaka 50 hakuna maendeleo! -3
Katika makala mbili zilizotangulia nimeandika kuhusu kichwa cha habari hapo juu. Kwa maana kuwa baadhi ya viongozi na wananchi wa kawaida wanathubutu, tena bila haya, kupiga la mgambo kuwa eti miaka 50 hakuna maendeleo huku wanaendelea kuhamisha na kuiba mali na rasilimali za nchi kama kuwa ni haki yao na kupeleka nchi za nje.
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
- Mtwara yanua fursa za madini, mapato ya Serikali yapanda mara nne
- Shekhe Dodoma aonya kutokutii viongozi ni hatari kwa amani ya taifa
- Mufti wa Tanzania ahimiza umoja,amani na utunzaji wa mazingira wakati wa Eid Al Adha
- Tanzania kujiimarisha kuwa kitovu cha utafiti katika kukabiliana na majanga
- Usalama wa nishati ni nguzo muhimu ya usalama wa taifa – Mramba
Habari mpya
- Mtwara yanua fursa za madini, mapato ya Serikali yapanda mara nne
- Shekhe Dodoma aonya kutokutii viongozi ni hatari kwa amani ya taifa
- Mufti wa Tanzania ahimiza umoja,amani na utunzaji wa mazingira wakati wa Eid Al Adha
- Tanzania kujiimarisha kuwa kitovu cha utafiti katika kukabiliana na majanga
- Usalama wa nishati ni nguzo muhimu ya usalama wa taifa – Mramba
- Bingwa wa masumbwi Crawford kutoka Marekani atinga Hifadhi ya Taifa Tarangire
- Mwenyekiti JAB awataka waandishi wa habari kutafakati upya wajibu wao
- Waziri Mkuu ateta na Rais wa Benki ya AfDB
- Rafiki wa Binti wafanya kweli Afya ya Hedhi
- Shule ya Pre & Primary Courage yatoa msaada Kituo cha watoto yatima Mkuranga
- Serikali yaongeza nguvu kuimarisha afya za mama wajawazito na Watoto nchini
- Serikali yaendelea kutenga maeneo mapya kwa wachimbaji wadogo
- Magofu ya Kaole yawavutia wageni kutoka Mbozi Mbeya
- Wafanyakazi TARURA wahimizwa kuendelea kufanyakazi kwa ufanisi licha ya mafanikio
- Kigogo CCM: Niligoma kuhama mkoa wangu