Category: Makala
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
Maghoba: Tanzania isipuuze vitisho vya Kagame – Hitimisho
Wiki iliyopita, sehemu ya kwanza ya makala haya pamoja na mambo mengine, mwanajeshi na mbunge mstaafu, Frank Maghoba, alieleza mtazamo wake kutokana na kauli ya vitisho inayodaiwa kutolewa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame dhidi ya Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Sasa endelea na sehemu hii ya mwisho…
Chanzo cha msuguano
Inaelezwa kuwa msuguano huo baina ya Rwanda na Tanzania ulianza kujitokeza siku chache baada ya kumalizika kwa kikao cha viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu, kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, chini ya uenyekiti wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
Sitta aache kumchafua Edward Lowassa
Siku zote napenda kufuatilia siasa za Tanzania. Ni siasa hizi za kuchafuana. Siasa za kuchafuana si ngeni katika jamii yetu. Mtu akimwona mwenzake kazidi kwa jambo jema katika jambo fulani, basi atamchafua ili jina lake lionekane kuwa si kitu.
- Taasisi za umma zatakiwa kuachana na utendaji wa mazoea ili kufanikisha Dira 2050
- Tanzania yaongoza juhudi za Afrika kutokomeza UKIMWI na kuimarisha mifumo ya afya
- Rais Dk Samia awasili jijini Accra Ghana kushiriki mkutano AU
- Tanzania na OACPS wakubaliana kuinua sekta ya uvuvi na uchumi wa buluu
- Waziri Ndejembi amjulia hali kapteni Mstaafu George Mkuchika
Habari mpya
- Taasisi za umma zatakiwa kuachana na utendaji wa mazoea ili kufanikisha Dira 2050
- Tanzania yaongoza juhudi za Afrika kutokomeza UKIMWI na kuimarisha mifumo ya afya
- Rais Dk Samia awasili jijini Accra Ghana kushiriki mkutano AU
- Tanzania na OACPS wakubaliana kuinua sekta ya uvuvi na uchumi wa buluu
- Waziri Ndejembi amjulia hali kapteni Mstaafu George Mkuchika
- Kishindo cha Waziri Nanauka Katavi, asema Serikali kuimarisha uwekezaji katika elimu, afya
- Newala kunufaika na umeme wa uhakika
- Serikali yatangaza neema kwa wakulima kupitia visima vya umwagiliaji
- Masauni awahamasisha wananchi kunufaika na biashara ya hewa ya ukaa
- ECSA- HC yatoa milioni 211/- kufanikisha kambi ya madaktari bingwa Tanzania
- Rais Samia aondoka nchini kuelekea Accra, Ghana
- Dk Mwigulu : Afrika igeuze mabadiliko ya dunia kuwa fursa za maendeleo
- Washindi Tuzo ya Kiswahili ya Safal kujulikana Ijumaa
- CHADEMA kabla ya kunyooshea wengine kidole…
- Kikwete aitaka Afrika kubadili ahadi za afya kuwa utekelezaji wenye bajeti