Category: Makala
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
JKT ni mtima wa Taifa (5)
JKT ni mtima wa Taifa (5)Napenda kukumbusha wahusika kuwa wakati utaratibu wa kuwaita vijana kwa mujibu wa sheria ukiandaliwa katika ile (White Paper No. 2 ya mwaka 1966), katika ibara ya 9, kulianishwa masomo ya kuwafundisha vijana wote katika JKT.
Tamaa ya utajiri yachochea ushirikina migodini Geita
“Ushirikina huku Geita ni mkubwa, wachimba madini wengi wanaamini hawawezi kufanikiwa bila kufanya ushirikina, ndio maana kuna vitendo vya mauaji ya alibino na kukata viungo vyao.”
Hiyo ni kauli ya mchimbaji mdogo wa dhahabu katika mgodi wa Nyarugusu alipozungumza na JAMHURI hivi karibuni, kuhusu ukubwa wa imani za ushirikina kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita.
Habari mpya
- Rais Samia awasilia Ethiopia
- Siku 100 za Rais Samia zaleta neema Igunga
- Spika Zungu: ofisi ya spika haijatoa kibali chochote kwa wabunge kuhojiwa na TAKUKURU
- Serikali yaipunguzia sekta ya habari mzigo wa tozo
- Dk Mwigulu ataka ushirikiano wa kikanda kwenye mapambano dhidi ya saratani
- TMA, wadau wajadili njia za kufikisha taarifa za hali ya hewa kwa wakati kwa wakulima
- TAMISA yashiriki Kongamano la madini Afrika Kusini
- Nyumba 280 zaezuliwa na upepo ulioambatana na mvua Rufiji
- Rais Samia aondoka nchini kushiriki mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika
- Waziri Mkuu amuwakilisha Rais Samia maadhimisho ya miaka 30 ya Ocean Road
- Msichana wa miaka 18 aua watu sita akiwemo mama yake kwa shambulio Canada
- Burkina faso kujifunza mageuzi ya usimamizi na uendeshaji sekta ya madini
- Siku 100 za Rais Samia, sekta ya mafuta na gesi kama nguzo ya maendeleo ya Taifa
- Umoja wa Ulaya kushirikiana na Tanzania kwenye Mnyororo wa Thamani wa Madini
- Trump: Hakuna hitimisho lolote la mwisho kuhusu Iran
Copyright 2025