Category: Makala
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
- Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia
- Mkurugenzi Mkuu TMA , Katibu Mkuu WMO wazungumzia El Nino 2026
- ETDCO yakamilisha miradi ya umeme wa bilioni 16.2 kusini
- TARURA yafungua barabara ya Manda – Mafurungu wilayani Chamwino, wananchi wapata nafuu ya usafiri
- Tanzania, Ujerumani zajadili fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi
Habari mpya
- Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia
- Mkurugenzi Mkuu TMA , Katibu Mkuu WMO wazungumzia El Nino 2026
- ETDCO yakamilisha miradi ya umeme wa bilioni 16.2 kusini
- TARURA yafungua barabara ya Manda – Mafurungu wilayani Chamwino, wananchi wapata nafuu ya usafiri
- Tanzania, Ujerumani zajadili fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi
- NEMC Yataka Ubunifu wa Mazingira kugeuzwa kuwa fursa
- BoT yapata tuzo tano kwa kukuza huduma jumuishi za fedha
- NIDA Kuanza kuwasajili watoto chini ya miaka 18- Dkt. Mwigulu
- TADB, EADB wazindua dirisha la Sh bilioni 50 kwa wakulima
- Msajili wa Hazina na Barrick wajadili namna bora ya uendelezaji wa migodi
- Rais Dk Mwinyi apokea mwaliko wa dua maalum ya kuliombea taifa juu
- Wizara ya Madimi yaja na sheria kusimamia taaluma ya wajiolojia
- Pwani kutenga maeneo ya hifadhi kwa waathirika wa mafuriko – Nyongo
- THBUB kuja na mwongozo wa kutathmin misingi ya utawala bora nchini
- Makamu wa Rais Ndejembi aendeleza diplomasia ya Tanzania – Vienna
Copyright 2025