Category: Makala
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
- Mnuna ataka udhibiti wa EWURA ulete matokeo chanya
- Hakikisheni mnambana mkandarasi ili mradi wa umeme Songea – Masasi ukamilike kwa wakati – Ndejembi
- Watumishi wa umma watakiwa kujipanga na mabadiliko ya teknolojia na matumizi ya Akili Unde
- MKENDA: Ubunifu Tanzania lazima uanze kuzalisha bidhaa na kufika sokoni
- Takukuru yakamata nadumu 510 ya mafuta ya kula yaliyoingizwa kimagendo
Habari mpya
- Mnuna ataka udhibiti wa EWURA ulete matokeo chanya
- Hakikisheni mnambana mkandarasi ili mradi wa umeme Songea – Masasi ukamilike kwa wakati – Ndejembi
- Watumishi wa umma watakiwa kujipanga na mabadiliko ya teknolojia na matumizi ya Akili Unde
- MKENDA: Ubunifu Tanzania lazima uanze kuzalisha bidhaa na kufika sokoni
- Takukuru yakamata nadumu 510 ya mafuta ya kula yaliyoingizwa kimagendo
- Kdogosa, Waziri wa Fedha Kenya wajadili Uwekezaji wa miradi sekta ya Miundombinu
- Makamu wa Rais aagiza kubadilishwa kwa meneja wa mradi wa umeme Songea – Tunduru- Masasi- Mahumbika
- Mataragio, Katibu Mkuu wa Petroli Zambia wajadili mikakati ya ushirikiano sekta ya mafuta
- Rais Dk Samia akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
- Mahakama ya Afrika yaadhimisha miaka 20 kwa kilio cha maamuzi yake kutotekelezwa
- Madaktari bingwa na wabobezi kuweka kambi hospitali ya Tumbi Novemba 16 -20
- Wenye ulemavu wasiachwe nyuma katika elimu ya tahadhari za mvua ya El Nino
- Tanzania yaongeza kasi kuwania tena kiti Baraza la ITU
- Mfumo wa stakabadhi ghala waimarisha bei za mazao mkoani Ruvuma
- TANAPA yaimarisha uhifadhi, idadi ya faru yaongezeka hadi 170
Copyright 2025