Category: Makala
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Serikali isipuuze, udini upo, iudhibiti – 3
Wote tunakubali kuwa elimu ni ufunguo wa maisha. Kumnyima mtu au kundi moja ni sawa kumnyima mtu au kundi hilo maendeleo ya maisha yeke au yao katika uchumi madaraka, ajira na tija nyinginezo.
Je, ushirikina unafanikisha biashara?
Mapema mwaka huu nilikuwa miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, waliokwenda kushuhudia sakata la misukule katika Frelimo, iliyodaiwa kuwa kwenye nyumba ya mama mmoja mfanyabiashara maarufu mjini hapa. Licha ya kufika mapema sana eneo hilo lakini sikubahatika kuona misukule!
Habari mpya
- Kapinga: Dhana ya taka sifuri inafungua za biashara na viwanda
- Ushirikiano sekta binafsi nyenzo muhimu ya mageuzi sekta ya afya
- Vijana 100 bora waingia mafunzoni shindano vijana uchumi challenge 2026
- Dk Mwigulu aagiza uchunguzi wa mapato ya maegesho Ifunda
- Ole Millya akemea uuzwaji ardhi Simanjiro
- Ongezeko la mapato Pwani lachangia mafanikio ya utekelezaji wa ilani Pwani
- Makusanyo madini yavuka lengo, yakusanya trilioni 1.27
- Makamu wa Rais aagiza miti mitano kwa kila kibali cha ujenzi
- Serikali yazindua kituo cha operesheni na mawasiliano ya dharura Mwanza
- Mathias Canal atwaa tuzo ya ushiriki bora wa kazi za jamii 2026
- Sangu aieleza ILO mambo sita yanayoipaisha Tanzania sekta ya kazi
- Tanzania yapiga hatua kubwa dhidi usugu wa dawa, matumizi ya antibiotiki yashuka kwa asilimia 88
- Dk Nchimbi atembelea banda la REA
- Nyumba za ibada ziwe chanzo cha mshikamano na amani kwa taifa- Dk Kijaji
- Wizara ya Afya yaelekeza mikakati mipya kuwafikia watoto
Copyright 2025