Category: Makala
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
- FCT yaendelea kuwawezesha wadau Arusha kupitia mfumo wa kielektroniki
- CTI : Ushirikiano na Serikali umetatua changamoto za wenye viwanda
- Bima ya afya kwa wote yaanza rasmi, serikali yawaondolea wananchi mzigo
- Kamati yapongeza juhudi za Serikali uboreshwaji huduma za afya
- Mashindano ya Ligi ya Muungano yaimarisha undugu, umoja na mshikamano kwa Watanzania
Habari mpya

- Waziri wa Ajira na uwekezaji Zanzibar aanika mipango ya wizara kujenga uzalendo na uchumi imara
- Dk Mwigulu aweka jiwe la msingi mradi wa kusukuma na kuhifadhi maji Mwanza
- Kiwanda cha sukari Mkulazi chaanza kuleta tija
- Dk Mwigulu awasili Mwanza kwa ziara ya kikazi
- SJMT, SMZ zaweka mikakati kuimarisha muungano
- Miradi, mikataba ya kimataifa kuleta fursa kwa wananchi wa pande zote za muungano
- Kizimbani kwa tuhuma za usafirishaji dawa za kulevya
- Raia wa Naigeria waenda jela miaka 28 kwa kusafirisha dawa za kulevya
- Watalii wamiminika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere
- Zelensky : Ukraine itazungumza na Marekani na Urusi