Category: Makala
ALFRED NOBEL
Aliteswa na uvumbuzi wake Umewahi kumsikia mtu aliyejirudi, akabadilika kutoka mtu mbaya katika jamii na kufariki dunia akiacha sifa nzuri lukuki nyuma yake? Mmoja wa watu hao ni Mtume Paulo, ambaye kabla ya kuongoka na kuwa ‘Mtu wa Mungu’, aliongoza…
Bunge litunge ‘Sheria ya Corona’
Vita dhidi ya corona ni zaidi ya masuala ya utabibu. Ni vita ya kuunusuru uhai wa watu na uchumi. Tangu mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) uliporipotiwa kwa mara ya kwanza Desemba…
Afrika inaweza kuitawala dunia
Tangu baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili mwaka 1945, dunia imeshuhudia mivutano mikubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Mivutano hii inalenga kuathiri mlingano wa mamlaka ambayo yanazipa nchi, au makundi ya nchi nguvu ya kutawala dunia kupitia mambo mbalimbali…
Ndugu Rais duh! Baba uko juu ya mawe!
Ndugu Rais, wanao tumekuona umelala juu ya jiwe. Umetukumbusha Yakobo yule aliyeimbwa na wanakwaya mahiri wa Mamajusi wa Majengo, Moshi. Yakobo alikuwa anasafiri kutoka Delisheba akielekea Almara. Njiani alichoka sana, akaamua kulala kwenye jiwe. Tunaambiwa malaika wa Mwenyezi Mungu walikuwa…
Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (4)
Katika sehemu hii ya nne na ya mwisho ya makala hii iliyobeba anuani ‘Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA)”, ninapenda kwa dhati kabisa kuwashukuru wasomaji wa Gazeti hili la JAMHURI ambao huwasiliana…
Bado pigo la uchumi
Kabla janga la homa ya corona kulipuka na kuwa balaa tunaloshuhudia, nilianza kuandika makala juu ya athari za awali kabisa za kiuchumi zilizojitokeza. Nikidhani wakati huo, tofauti na sasa, kwamba athari za kiuchumi zingekuwa kubwa kuliko zile za kiafya. Kinachotokea…