Category: Makala
Marufuku ya maji ya baraka yaleta mapya Kanisa Katoliki
Maisha yamebadilika sana kutokana na ugonjwa huu wa corona. Si maisha tu, bali pia tamaduni, mazoea na tabia za jamii. Hakika hili litapita, lakini litaacha nyuma yake kumbukumbu kadhaa mbaya na nzuri. Kwa miaka mingi Wakristo duniani wamekuwa wakitumia maji…
Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (5)
Miaka kadhaa iliyopita mwanafalsafa, Glenn Tinder, aliandika makala ambayo ilijadiliwa sana kwenye Gazeti la Atlantic Monthly isemayo: “Je, tunaweza kuwa wema bila Mungu?” Majibu ya wachangiaji wengi yalisema: “Hapana.” Ni kweli hatuwezi kuwa wema kwa nguvu zetu wenyewe. Hatuwezi kupenda…
Mtoto asipowatunza wazazi apewe ‘polisi oda’
“Mheshimiwa Mwenyekiti, usipopeleka mwanao shule, utashitakiwa. Lakini mtoto akipata kazi, wewe hakutumii hela, hauwezi kumshitaki. Hauruhusiwi kwenda polisi kulalamika, hauruhusiwi kwenda dawati la jamii. Haiwezekani. “Mzazi anaposomesha mtoto wake, anapomwomba pesa au anapopiga simu, watoto hawapokei. Mheshimiwa Mwenyekiti, tunaomba Wizara…
Yah: Naamini corona nayo itapita
Nimejifungia hapa ndani wiki ya tatu sasa, ninadhani kwa sababu ninaelewa kauli za viongozi wangu juu ya afya na kujikinga dhidi ya maradhi haya yaliyojitokeza nchini. Tumeambiwa kabisa wazee tuko kwenye hatari zaidi ya kuumwa na kupoteza maisha kama tukishikwa…
Mafanikio katika akili yangu (24)
Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akakumbuka alivyokutana naye alivyomwangalia kwa macho ya dharau na maneno machafu, hii ilikuwa baada ya Noel kumwambia yeye ni mwandishi. “Wewe mwandishi gani? Huoni waandishi wengine wanapendeza?’’ alizungumza binti yule kwa madoido na kujikweza…
Ni haki yako kuijua Sheria ya Mirathi (2)
Karibu katika safu hii mahususi kwa ajili ya kukumbushana na kuelimishana mambo kadhaa yahusuyo sheria mbalimbali, kwa sasa tukiitazama kwa undani Sheria ya Mirathi. Kuifahamu vema sheria hii kutakupa nafasi ya kuepukana na mianya ya uonevu iliyokithiri katika baadhi ya…