Category: Makala
MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (2)
Maisha yakikupatia pilipili, tengeneza chachandu Kahawa haikujua kama ni nzuri kabla haijakutana na sukari na maziwa. Pilipili pia haikujua kama ina ladha murua kabla haijakutana na nyanya. Chachandu ni mchanganyiko wa mchemsho wa nyanya zilizosagwa na pilipili. Chachandu hutumika kama…
Mtunzi maarufu lakini mwingi wa mizaha
Maandishi ya historia za watu wengi maarufu yanajikita kuelezea maisha yao ya kawaida lakini maisha kama tunavyoyafahamu yana mambo mengi sana, hata hao watu maarufu wana visa na vituko vingi ambavyo ni nadra sana kuonekana katika maandiko kuhusu maisha yao….
Ubabe haujengi, hauna tija (2)
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii nilieleza aina mbalimbali za ubabe na kuonyesha madhara yake kwa jamii. Nilionyesha jinsi ambavyo ubabe wa wanyama unavyokuwa na jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waliiga ubabe huo wa wanyama na tukaona mwisho wao…
Corona kusogeza mbele Uchaguzi Mkuu 2020?
Baada ya waandishi wa habari kuniuliza nini kitatokea endapo janga la corona litaenda hadi wakati wa Uchaguzi Mkuu, nimeona ni vema kuandika maoni yangu kupitia uchambuzi wa kisheria. Ni kweli kwamba ugonjwa huu ukizidi kuwa mkubwa nchini, mazingira ya kwenda…
Corona yayumbisha uchumi wa dunia
Wakati dunia ikihangaika kuokoa maisha ya watu kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, kwa upande wa pili uchumi umeendelea kutikiswa na ugonjwa huo. Umoja wa OECD tayari umeshaonya kuwa virusi hivyo vinaleta hatari kubwa katika uchumi wa dunia tangu…
Majanga makubwa yatakavyoyumbisha dunia 2020
Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Januari 2010 na kuusambaratisha mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, lilikuwa ni tukio lililoleta mabadiliko katika mikakati ya kushughulikia majanga yanayotokea maeneo ya mijini. Mabadiliko hayo yalikuja kwa sababu mikakati ya kukabiliana na majanga maeneo ya…