Leo Januari 27, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba, wilayani Bukoba, mkoani humo.

By Jamhuri