Uongozi wa klabu ya Yanga umemteua Mrundi, Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 pamoja na timu ya Wanawake, Yanga Princess.