Kinana akutana na balozi wa Somalia

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na  Balozi wa Somalia nchini Tanzania, Mhe. Zahra Ali Hassan  leo Jumanne, Novemba 21, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.(Picha na Fahadi Siraji /CCM Makao Makuu)