Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Songwe wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 13, 2023. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba (kulia) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Aden Mwakyonde (kushoto) wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya kikazi mkoani Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa maabara ya hospitali ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya wilaya Songwe akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa hatua ya iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songwe ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri