Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Jukwaa hilo kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Balozi wa Tanzania nchini Korea Togolani Mavura akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)