Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Centre (EACLC), Dkt. Cathy  Wang (kulia)  kuhusu ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa  na kampuni ya East  Africa Commercial  and Logistics Centre  eneo la Ubungo jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Mradi wa kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa  na kampuni ya East  Africa Commercial  and Logistics Centre  eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Aprili 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Mradi wa kituo cha Biashara cha Afrika ya Mashariki kinachojengwa  na kampuni ya East  Africa Commercial  and Logistics Centre  eneo la Ubungo jijini Dar es salaam Aprili 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri