Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hafla hiyo inafanyika (leo) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Kaulimbiu: “Nishati Safi ya Kupikia kwa kila Mtanzania”

(Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)

By Jamhuri