Shindano la Miss Tanzania 2018 lilofanyika usiku wa Jumamosi Septemba 8, 2018 na kushuhudia Queen Elizabeth kuibuka na ushindi katika mshindano hayo.

Queen alisema “Nafurahia kushinda taji ili najisikia vizuri sana asante Tanzania” akiongeza “ukiwa kama mrembo lazima ujiandae kama unavyoona warembo ni wazuri sio kwamba ni wazuri kumuonekano tu hata kichwani pia wako vizuri” na miongoni  katika fainali hiyo  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga walihudhuria

Wengine ni mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo na Miss Tanzania mwaka 2004, Faraja Kota.

Washereshaji katika shindano hilo alikuwa  ni mwanamitindo Hamisa Mobeto na mtangazaji wa kituo cha runinga cha EATV, Deogratius Kitham

Please follow and like us:
Pin Share