Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhi Kombe Kwa Mabingwa wa Mapinduzi Cup mwaka 2023 Timu ya Mlandege FC ya Zanzibar, baada ya mchezo wa fainali dhidi ya Timu ya Singida Big Stars uliochezwa Januari 13, 2022 Uwanja wa Aman.

………………………………………………..

Timu ya Mlandege imetwaa ubingwa huo baada ya kushinda magoli 2 dhidi ya 1 la Singida Big Stars, ikiwa timu hizo zote zimeingia fainali kwa mara ya kwanza.

Makamu wa Pili wa Rais (SMZ) Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe.Tabia Mwita, Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo (JMT) Mhe. Pauline Gekul, Naibu Katibu Mkuu Said Yakubu, Viongozi wengine na Wananchi mbalimbali wameshuhudia mchezo huo

By Jamhuri