Bohari ya Dawa (MSD) imeanza rasmi zoezi la kuhesabu mali kwa mujibu wa sheria. Zoezi hili la kuhesabu mali linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2023 ili kuanza mwaka mpya wa fedha.

Katika kipindi hiki maghala yote ya MSD Makao Makuu pamoja na Kanda zote yatakuwa yamefungwa kupisha zoezi hili.

By Jamhuri