Nyerere: Moyo wa kujitolea umefifia

“Moyo wa kujitolea umefifia mno. Katika hali kama hiyo ni vigumu sana kuwapata viongozi wenye moyo wa kuwatumikia wenzao.”

Mameno haya ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Melinda: Tunaamini kuchukua tahadhari.

“Lakini pia tunaamini katika kuchukua tahadhari, kwa sababu hiyo ndiyo namna ya kuleta vitu pamoja.”

Haya ni maneno ya Melinda Gates, mke wa mfanyabiashara maarufu duniani wa nchini Marekani, Bill Gates.

 

Lipumba: Tuchague vipaumbele vichache

“Kwenye bajeti zetu tumekuwa na vipaumbele vingi kiasi kwamba hata kuvitekeleza inakuwa vigumu, tuchague vichache na tuvifanyie kazi.”

Haya yalisema na Mwenyekiti wa CUF Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba.

 

Markel: Nia ya kujifunza stadi za kazi iko juu

“Nia ya kujifunza stadi mpya za kazi iko juu sana. Kila nchi inapaswa kuchukua hatua zake yenyewe za kulipa deni.”

Kauli hii ni ya Angela Markel, Chancellor wa Ujerumani na kiongozi wa Muungano wa Kikristo wa Kidemokrasia nchini humo.

 

 

 

Please follow and like us:
Pin Share