Ofisi ya Msajili vyama vya siasa yakutana na ACT – Wazalendo

Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ambaye pia na katibu wa Habari na Uenezi Chama cha ACT Wazalendo Salim Biman ameuongoza ujumbe wa chama hicho katika kikao cha pamoja kati ya ACT – Wazalendo na ujumbe wa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini uliongozwa na Msajili Msaidizi Hollo Kazi,, kikao hicho kimefanyika Afisi Kuu ya chama hicho Zanzibar.