Latest Posts
Wafungwa 29 waliokiuka masharti ya parole kurudishwa gerezani
Wafungwa 29 wamekiuka masharti ya Mpango wa Parole na kurudishwa gerezani tokea Bodi ya Parole ilipoanza kusimamia utekelezaji wa sheria zake. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema hayo leo alipokuwa akizindua Bodi ya Taifa ya Parole….
Jamii yashauriwa kuepuka vitu vinavyosababisha magonjwa ya moyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi, sukari, tumbaku na pombe kwa wingi kwa kuwa vyote hivi husababisha mtu kupata…
Songwe yakumbwa na uhaba wa petroli na dizeli
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Mkoa wa Songwe unakabiliwa na uhaba wa nishati ya mafuta ya petrol na dizeli na kuzua hofu kwa watumiaji wa vyombo vya moto wakihisi huenda yakaadimika na kusababisha usumbufu. Uhaba huo wa mafuta umeanza kujitokeza siku tano…
TFRA kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 586,604 hadi 800,000
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA),Dk.Stephan Ngailo amesema wanatarajia kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 586,604 mwaka 2019/2020 hadi tani 800,000 Mwaka 2020/2025 ili kuongeza uzalishaji wenye tija. Aidha mpaka kufikia…
Biashara ya mkaa inavyochagiza uharibifu wa mazingira
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Ukataji wa miti ni changamoto katika jitihada za kulinda misitu hasa nchi zinazoendelea kwa sababu ya watu kukata miti kwa ajili ya mkaa, kuni pamoja na mbao . Athari za ukataji miti ni nyingi na katika hatua…