JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kigongo – Busisi kuvukwa dakika 4 daraja litakapokamilika

Na Immaculate Makilika, JamhuriMedia, Mwanza Kawaida daraja hujengwa kwa kusudi la kuwa na njia ya kupitia juu ya pengo au kizuizi. Licha ya hivyo daraja pia linaweza kuchochea uchumi wa eneo husika kwa kuwa na faida lukuki ikiwemo usafiri na…

Watu 79 wafariki katika ajali ya boti Ugiriki

Takriban watu 79 wamefariki na wengine zaidi ya 100 kuokolewa baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika pwani ya kusini mwa Ugiriki. Walionusurika na maafisa wa Ugiriki wanasema kuwa mamia zaidi ya wahamiaji walikuwa ndani ya boti hiyo. Serikali…

Halmashauri Songea yapokea bilioni tatu kutekeleza miradi ya elimu

Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imepokea zaidi ya shilingi bilioni tatu kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Neema Maghembe amesema kati ya fedha hizo  Halmashauri imepokea fedha zaidi…

Fountain Gate yainunua Singida Big Stars

Klabu ya Singida Big Stars kwasasa inajulikana kama Singida Fountain Gate baada ya matajiri wa Fountain Gate kuinunua klabu hiyo.   Singida Big Stars inashiriki ligi kuu Tanzania bara ‘NBC’ ikimaliza msimu katika nafasi ya nne na kukata tiketi ya kushiriki…