JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chalamila TASAF mwarobaini wa umaskini katika jamii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema TASAF imekua mkombozi mkubwa wa kuondoa umasikini katika Jamii watu wengi wamebadili maisha yao, pia ni ukweli usiopingika kati ya programu nyingi zilizoanzishwa kwa lengo…

MSD yatoa zawadi ya sikukuu kwa wototo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia BOHARI ya Dawa (MSD) imewashika mkono watoto wanaolelea katika kituo cha kulelea watoto Kurasini kwa kuwapa zawadi mbalimbali kusherehekea sikukuu ya Krrismas na mwaka mpya. Akizungumza jana kituoni hapo wakati wa kukabidhi msaada huo, Meneja Mawasiliano…

SACP Ng’anzi awataka abiria kutoa taarifa madereva wanaokiuka sheria za barabarani

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi amewataka abiria  wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma  kutoa taarifa  za baadhi ya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarini….

RC Mndeme, Ma – Dc wawili watinga Hanang

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Hanang Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amekabidhi misaada ya kibinadamu ikiwemo vyakula, nguo na vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na wananchi wa Shinyanga kwa waathirika wa mafuriko ya tope yaliyoambatana na mawe kutoka mlima Hanang’…

Dk Biteko ashiriki Rombo Marathon, apongeza ubunifu wake

📌Apongeza nia ya Marathon kuhifadhi Mazingira, kuimarisha huduma za kijamii 📌Asema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi zinazoanzishwa na wananchi kujiletea maendeleo na kukuza Utalii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko…

WAMACU yajipanga kuwakomboa wakulima zao la mahindi 2024/2025

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Chama Kikuu cha Wakulima Mara Cooperative Union (WAMACU), kimewakumbuka wakulilima wa zao la mahindi hii ni kufatia kuwepo na soko duni la zao hilo ambalo ni moja ya mazao ya biashara yanayozalishwa Mkoani Mara ….