Mikiki ya Chuo Kikuu Huria
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Mwandishi MANYERERE JACKTON, aliyezungumza naye, analeta maelezo ya Profesa Bisanda neno kwa neno. Endelea… Uhaba wa fedha Basically wanafunzi tunao, unaona operesheni yetu ni kubwa sana. Vituo 30 si…