JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RC Chalamila amshukuru Rais Samia utekelezaji wa miradi Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa shukrani hizo leo Agosti 28, 2023 katika ziara yake ya kutembelea na kukagua mradi wa Barabara Nzasa-Kilungule, Ujenzi wa Hospitali ya Ghorofa sita (6) na Ujenzi…

Mifumo inavyowatenga watoto wa mitaani na kuwanyima haki zao

Na Hassan Aufi, JamhuriMedia Mtazamo wa Wataalamu wa Sosholojia (Sociologist) kuhusu tatizo la watoto wanaoishi na kufanyakazi mtaani, unaonyesha kuwa hali hii inajitokeza kutokana na kukosekana uimara kwenye mifumo ya kimalezi ya familia zetu na kwa kiasi kikubwa katika mifumo…

Majiji manne kufungwa kamera za usalama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imedhamiria kuendelea kuboresha Utendaji wa Jeshi la Polisi katika kudhibiti matukio ya uhalifu na makosa ya usalama barabarani kwa kufunga kamera maalumu katika majiji ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza na Arusha huku lengo likiwa…

Arusha kitovu cha sekta ya Posta barani Afrika

Immaculate Makilika na Faraja Mpina, JamhuriMedia,Arusha Mkoa wa Arusha unatazamiwa kuwa Kitovu cha Wataalamu wa Sekta ya Posta barani Afrika mara baada ya uwepo wa jengo la kisasa la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) litakalozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya…