Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya Kuwatunuku Nishani Viongozi mbalimbali wakati wa shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 24 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Kuwatunuku Nishani Viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.