MCHANGANYIKO

Sasa tusichezee tena madaktari

Ulimwengu wa mtandao ni kitu kizuri sana. Watu wanawasiliana kwa masafa marefu katika muda mfupi kabisa. Wazungu walikuwa wanasema nasi tukawa tunashangaa, lakini nasi tunaitikia leo kiukweli kweli, kwamba dunia imekuwa kijiji. Aina ya kijiji kinachozungumzwa si kwa udogo wa…
Soma zaidi...