Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko baada ya kuapishwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Ndogo Zanzibar Septemba 1, 2023. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)