JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hakuna kilichosimama miradi ya maendeleo Ushetu

Na Mathias Canal, Ushetu-Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati….

Rais Dkt. Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya

 lRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru…

Balozi Shelukindo akutana kwa mazungumzo na katibu Mkuu Indonesia

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia Cecep Herawan katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam…

Aliyeua watu 77 aomba kuhukumiwa kifungo cha nje

Muuaji wa mauaji ya raia wa Norway Anders Behring Breivik anaishtaki serikali kwa madai ya kukiuka haki zake za binadamu kutokana na wimbo katika karantini “kubwa”, na amewasilisha ombi nyingine la msamaha, wakili wake alisema. Breivik aliua watu 77, wengi…

Global Education Link yaomba Visa kwa wanafunzi kwenda China ziharakishwe

Mkurugenzi wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha maalum kwa wanafunzi wanaoomba visa kwenda kusoma nchini humo. Mollel amesema kuna idadi kubwa ya wanafunzi wa…

MNEC Jumaa akemea misuguano ndani ya chama

Na Mwamvua Mwinyi, JahuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ,CCM (MNEC) kupitia Wazazi ,Hamoud Jumaa ameeleza nguzo pekee ya ushindi katika uchaguzi wa Serikali ya Mitaa 2024 pamoja na uchaguzi Mkuu 2025 ,ni wanaCCM kudumisha umoja na mshikamano pasipo…