Latest Posts
Wachezaji waliotemwa na kusajiliwa Simba
DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi Januari 16, 2024 huku tukiwashuhudia vigogo Simba wakisajili mashine mpya na kuwaacha baadhi ya wachezaji wale wa kimataifa na kitaifa kwa maana ya wachezaji wa ndani. Simba ilifikisha idadi ya wachezaji 15 wakigeni jambo…
Kila la kheri Stars kesho
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinatarajia kushuka dimbani kuvaana na timu ya taifa ya Morocco kesho Januari 17, 2024 huko nchini Ivory Coast katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika {…
Shanga yatolewa katika mapafu ya mtoto Muhimbili kwa njia ya kamera, wazazi waaswa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ikiwemo madhara ya kudumu na kifo. Kauli hiyo imetolewa na…
Kamishna Mabula afanya ukaguzi wa karakana ya kisasa Manyoni, atoa maelekezo
Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Manyoni Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa…
NCCR Mageuzi yakataa kushiriki maandamano , yampongeza Rais Mwinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Unguja Mwenyekiti Taifa wa Chama cha NCCR – Mageuzi, Haji Ambar Khamis amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kusimamia vyema maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa…
CBE yaanza kutoa mafunzo wahudumu wa mabasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa kwenye mabasi ya abiria ili kuifanya kazi hiyo kuheshimika kama zilivyo fani zingine. Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo cha…





