JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi yatoa ufafanuzi kifo cha mwanafunzi UDOM

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limesema kuwa limeona mjadala katika mitandao ya kijamii ikuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Nusura Hassan Abdallah kilichotokea huko Mkoani Kilimanjaro. Akitoa…

Makamu mwenyekiti CCM Zanzibar aanza ziara ya kuimarisha chama

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza   katika Mkutano wa Mabalozi na Halmashauri Kuu za CCM Majimbo ,Wilaya na  Mkoa wa Magharibi Kichama  katika ukumbi wa Piccadiliy Kombeni Wilaya Magharibi…

Timu ya mawaziri yawasili Mara kutafuta ufumbuzi wa migogoro ya ardhi

OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula pamoja na Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Marry Masanja…

TANAPA yatoa mafunzo matumizi ya ndege zisizo na rubani

……………………….. Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), 16 kutoka kada ya Mifumo ya kijiografia (GIS), Ulinzi, Usalama wa Anga, na Mawasiliano wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya ndege nyuki “Drone” pamoja na mifumo mbalimbali ya uendeshaji ndege zisizo…

Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka

……………………………… Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni 27.8 kwa mwaka 2015 hadi bilioni 94.5 kwa mwaka 2022. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.)…