Latest Posts
Rais wa Ujerumani kutembelea makumbusho ya Majimaji, Songea
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema maandalizi ya kuupokea ugeni huo yamekamilika ambapo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songea ataenda moja kwa moja katika Makumbusho hiyo ya Vita vya MajiMaji. Amesema akiwa katika Makumbusho…
Utafiti wa viashiria matokeo ya VVU na UKIMWI 2022/2023 umekamilika huku kukiwa na matokeo chanya
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Taarifa za utafiti wa viashiria na Matokeo ya VVU na Ukimwi Nchini Tanzania kwa Mwaka 2022/2023 zimekamilika huku takwimu za Utafiti huo zikitarajiwa kutolewa rasmi Desemba Mosi Mwaka huu mkoani Morogoro katika maadhimisho ya Siku ya…
Wizara ya Madini yaja na mkakati kabambe kuwaanda Watanzania wenye ushindani
#Yageukia vyuo vikuu, kati kutengeneza wataalam #Iko mbioni kurekebisha mitaala kuongeza tija sekta ya madini #Yadhamiria kutafsiri Vision 2030 kwa vitendo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali iko mbioni kupitia na kurekebisha mitaala ya elimu kwa vyuo vikuu na vya…
Muswada wa bima ya afya kupelekwa upya bungeni
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema inatarajia kuupeleka tena Muswada wa Bima ya Afya kwa wote bungeni Novemba 1,2023 ambao ulikwama Februari mwaka huu baada ya hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza mpango huo….
Wana NCCR- Mageuzi watakiwa kuijua miswada ya sheria ya Uchaguzi, yaunga mkono uwekezaji wa DP World
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Chama cha NCCR- Mageuzi kimewataka wanachama wake wote nchini kuisoma miswaada ya Sheria ya Uchaguzi yote inayotarajiwa kuwasilishwa kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajia kuanza Novemba mwaka huu. Pia chama hicho kimesema hakitasusia…
Kishindo cha Rais Samia, ziara ya siku tatu Zambia
Na Wilson Malima Lusaka Zambia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa…