Latest Posts
TPA yaibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye sekta ya umma
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye Sekta za Umma na hivyo kukabidhiwa tuzo kwenye kilele cha Maadhimisho ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na…
CCM Zanzibar yampongeza Rais Dkt.Mwinyi kupandisha viwango vya pensheni kwa wastaafu
NA IS-HAKA OMAR, JamhuriMedia, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kinampongeza kwa dhati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi,kwa maamuzi yake ya kupandisha viwango vya pencheni za wastaafu pamoja pencheni jamii kwa wazee wenye umri wa…
Rais Mwinyi ahutubia Siku ya Wafanyakazi Duniani viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kupokea Maandamano ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika Mkoa wa…
Rais Samia aagiza waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Rais Samia Suluhu Hassan, ameagiza Waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mara moja ili wapate stahiki na haki zao. Akihutubia kwenye maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi Kitaifa 2023 Mjini Morogoro,…
Rais Samia: Wafanyakazi wana mchango katika ustawi wa taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyakazi wakati wa Sherehe ya Mei Mosi ambazo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023. ……………………………………………………………………………….. Na Immaculate Makilika – MAELEZO…