JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bunge lapitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 24, 2023 limepitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 kiasi cha ya Sh. 54,102,084,000 kwa matumizi mbalimbali yakiwemo miradi ya maendeleo. Akitoa maelezo kuhusu hoja…

Serikali kuendelea kutoa mafunzo ya uzoefu kwa vijana

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,Prof.Joyce Ndalichako, amesema serikali imeendelea kuwapatia mafunzo ya uzoefu kazini vijana ikiwamo wanaohitimu masomo yao nje ya nchi. Amesema Ofisi hiyo kupitia Kitengo…

Serikali kuwasomesha wataalamu ili kupambana na magonjwa ya saratani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika kuboresha upatikanaji wa huduma za matibabu ya saratani nchini,Serikali kupitia Wizara ya Afya ipo mbioni kuanza kuwasomesha wataalamu wa afya ili kuwapeleka katika hospitali za mikoa . Aidha itahakikisha hospitali zote za Rufaa za…

RC Kunenge:Tanzania ina kila sababu ya kujivunia ilivyoweza kulinda muungano

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Tanzania ina kila sababu ya kujivunia namna ambayo imeweza kulinda na kuudumisha Muungano wetu. Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge alitoa kauli hiyo wakati akifungua Kongamano la miaka 59 ya Muungano wa Tanzania, lililofanyika…