Latest Posts
Waliojiua wakitaka kukutana na Yesu wafukuliwa
Polisi nchini Kenya walisema Ijumaa kwamba wamefukua miili ya watu watatu, inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki mwa nchi hiyo wakati wakati polisi imepanua uchunguzi wake. “Mchakato wa kufukua miili bado unaendelea na…
Yanga yafanya kweli kimataifa, yaichapa Rivers United 2-0
Ukiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho, ushindi unarejeja Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Godswill Akpabio huko Nigeria umesoma Rivers United 0-2 Yanga. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi…
Saudi Arabia yaondoa raia wake Sudan
Mapigano yameingia wiki ya pili nchini Sudan, kati ya wanajeshi wa serikali na wanamgambo wa RSF, ambayo yamesababisha watu zaidi ya 400 kupoteza maisha na maelfu kujeruhiwa. Licha ya pande zote kukubali kuacha mapigano wakati wa sikukuu ya Eid, wakabiliano…
Dkt. Mpango atoa wito kwa viongozi wa dini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa waumini na viongozi wa dini hapa nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali ili waweze kuongoza taifa vile inavyompendeza Mungu. Makamu wa Rais amesema hayo leo…
Simba 1-0 Wydad Casablanca
Klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Bao la kuongoza limefungwa na mshambuliaji Jean Baleke akiwa ndani ya 18 dakika ya 30. Dakika 45 za…