JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

UNICEF yaahidi kusaidia utekelezaji mageuzi sekta ya elimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Kimataifa la Kuhudunia Watoto (UNICEF) limeahidi kusaidia utekelezaji wa mageuzi katika sekta ya elimu ili kuhakikisha watoto wa kitanzania wanapata elimu bora. Hayo yameelezwa Machi 12, 2024 Jijini Dar es Salaam…

Kamati ya Bunge yakagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati Mtumba

๐Ÿ“Œ Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi ๐Ÿ“Œ Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi ๐Ÿ“Œ Ujenzi wafikia asilimia 75 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa…

Mbaroni kwa wizi wa mifugo na utoroshaji

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Tinde Shinyanga Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo STPU, kimesema kinawashikilia watuhumiwa kadhaa kwa tuhuma za wizi wa mifugo na utoroshaji mifugo nje ya nchi huku likisema kuwa litaendelea kushirikiana na wananchi…

Siku ya misitu na upandaji miti kitaifa kufanyika Same

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Misitu na upandaji miti duniani ambayo kitaifa itafanyika Wilaya ya Same mkoani…

Dk Gwajima : Malezi na makuzi ya watoto yanaathiriwa na migogoro ya kifamilia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha wanatenga muda wa kutosha wa kukaa na kulea watoto wao kwa kuzingatia mila na desturi nzuri. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo…