JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera vyaunganishwa na umeme wa REA

Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Kagera Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya mkoa huo vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini…

Mbunge Prof. Muhongo na wadau wafanikisha harambee ujenzi wa Etaro sekondari kisiwa cha Rukuba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Musoma Vijijini MBUNGE wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sosepter Muhongo kwa kushirikiana na viongozi wakiwemo wakuu wa Wilaya ya Musoma na Halmashauri yake (Musoma DC), waemeendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Etaro, ambayo…

Wananchi Momba, Songwe waipongeza TARURA kwa ujenzi wa barabara Ikana – Iyendwa-Namchika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana – Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na kusababisha adha kubwa ya…

Njia ya matundu kutumika upandikizaji figo Mloganzila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila itafanya huduma ya kibingwa na Bobezi ya Upandikizaji figo…