Latest Posts
Azam hatihati kumkosa Ibenge
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Miamba kutoka Azam Complex huwenda ikashindwa kunasa saini ya kocha kutoka DR Congo, Florent Ibenge ambaye amekuwa akitajwa kuwaniwa na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu 2022/23. Inaelezwa kuwa mabosi wa klabu ya Al Hilal ya nchini…
Amrouche aipongeza Uganda
Na Tatu Saad,JAMHURIMEDIA Licha ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Taifa Stars dhidi ya Uganda katika mchezo wa kundi F kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ uliopigwa katika uwanja wa Suez Canal Authority uliopo nchini Misri,kocha Adel Amrouche…
Bilioni 223.9 zapelekwa Tunduru ndani ya miaka miwili ya SSH
Na Idd Mohamed JAMHURI MEDIA Jumla ya Shilingi 223,917,101,547.11 zimepelekwa wilaya ya Tunduru kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu mwezi Machi 2021 – Machi 2023, miaka 2 ambayo serikali ya Tanzania imeongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Wilaya…
Mandonga amchapa Mganda,ajinyakulia taji
Bondia machachari na mwenye mbwembwe nyingi Karim Mandonga amechampa Mganda Kenneth Lukyamuzi na kutwaa ubingwa wa PST uzani wa Light-Heavyweight. Mandonga ameshinda kwa pointi katika pambano hilo la raundi 8 na kutwaa ubingwa huo wa kwanza kabisa katika maisha yake…
Kimbunga chaua 23 Mississippi Marekani
Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya kimbunga kukumba jimbo la Mississippi nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Watu zaidi wanadhaniwa wamenaswa chini ya vifusi vya majengo yaliyoharibiwa. Kimbunga hicho kilisababisha uharibifu mkubwa katika miji kadhaa ya mashambani, ambapo miti…
Serikali: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg
Na WAF –Kagera,JamhuriMedia,Bukoba Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Machi 25,2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi sehemu mbalimbali mkoani hapa. Hayo ameyasema jana alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari nakusema kuwa ugonjwa huo…