JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mpango akutana na uongozi TBL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo Leonard Mususa, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Benki…

Wawekezaji 23 waonesha nia kuwekeza katika Kongani ya kisasa ya viwanda Pwani

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Jumla ya wawekezaji wapatao 23 kutoka nchi za Uganda, Kenya, India, Uturuki, China, Sudan, Falme za Kiarabu, Pakistan, Zambia na Tanzania waliotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa Kongani ya Kisasa ya Viwanda iliyopo katika eneo la…

Apandishwa kizimbani akituhumiwa kutapeli Mil.105/-

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Mshtakiwa Abubakar Hassan (66) anayekabiliwa na mashitaka manne ikiwemo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na kughushi,  amesomewa hoja ya awali katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu. Mshitakiwa huyo amesomewa hoja za awali…

Hakielimu yaiomba Serikali kiswahili kiwe lugha ya kufundishia

Na Mussa Augustine Taasisi ya Hakielimu imeiomba Serikali kurejea upya mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu kuhusu matumizi ya lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia ngazi ya sekondari. Rai hiyo imetolewa leo Machi 22,2023 na taasisi hiyo kupitia Mkurugenzi…

Serikali kushirikiana na wadau kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi…