JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali ilivyodhamiria kuwarejesha faru weusi Kusini

Na Albano Midelo, JamhuriSongea Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhamiria kuona idadi ya faru Weusi inaongezeka kwa asilimia tano kila mwaka. Mratibu wa Faru kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii Philibert Ngoti amesema hadi kufikia Aprili 2023,idadi ya…

Damu salama Kanda ya Mashariki yatoa kadi kielektroniki 96

Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia MPANGO wa Taifa wa Damu Salama kupitia Kanda ya Mashariki inayojumuisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Pwani na Morogoro imekabidhi kadi za Kielektroniki kwa wachangiaji vinara zaidi ya 96. Tukio hilo la kipekee lililofanyika mapema Septemba…

Waandishi wa habari watakiwa kutumia takwimu kwenye habari wanazoziandika

Na Helena Magabe Jamuhuri media Mwanza. Waandishi wa habari wametakiwa kutumia takwimu wanapoandika habari ili kuongeza uelewa katika kazi zao kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya mwaka 2022. Wito huo umetolewa na mgeni rasmi MKuu wa Wilaya ya Nyamagana…

Mradi wa maji vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Barrick Tarime ulivyowakomboa wananchi

Na Helena Magabe, Jamuhuri Media Tarime. Kulikuwa mvutano mrefu juu ya mgawayo wa pesa za CSR pale kiongozi mmoja aliyekuwepo Mara alipotaka pesa hizo zigawanywe kwenye wilaya nyingine nje Tarime. Hali ilipelekea mgodi kusimama kwa muda kusubilia mvutano uishe hivyo…