Latest Posts
Madini Vision 2030 kutangazwa Indonesia
Ushirikiano Tanzania, Indonesia waimarishwa Madini ya Kimkakati kupewa kipaumbele Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri Yogo Jatmiko amesisitiza kushirikiana na Tanzania katika kutangaza Mwelekeo Mpya wa Wizara wa VISION 2030: Madini ni Maisha na Utajiri ili kutangaza fursa mbalimbali…
Mpango: Ushirikiano unahitajika ili kuitekeleza vyema kampeni ya uwekezaji Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni…
Waziri Mhagama: Tuwalinde watoto dunia imebadilika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Ruvuma Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya vitendo hivyo vinavyosababisha madhara makubwa kwa watoto. …
Rais Samia akiwa katika zira mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri…